dc.contributor.author | Ahisibwe, Anthony | |
dc.date.accessioned | 2022-05-12T09:23:33Z | |
dc.date.available | 2022-05-12T09:23:33Z | |
dc.date.issued | 2022-05-06 | |
dc.identifier.citation | Ahisibwe, A. (2022) .usawiri wa mwanamke katika tamthilia ya kivuli kinaishi na kimya kimya kimya Unpublished undergraduate dissertation. Makerere University; Kampala-Uganda. | en_US |
dc.identifier.uri | http://hdl.handle.net/20.500.12281/12413 | |
dc.description | A dissertation submitted to the school of Education in partial fulfillment of the award for degree of bachelor of Arts with Education of Makerere University. | en_US |
dc.description.abstract | makala hii inahusu usawiri wa mwanamke katika tamithilia ya kivuli kinaishi na kimya kimya kimya . usawiri wa mwanamke ni suala au mchoro wa wahusika wa kike katika kazi za fasihi . usawiri wa mwanamke unajengwa na vipengele kamavile vitendo , nafasi , mtazamo wa wahusika wa kike wanavyo chukua katika tamthili fulani . utafiti huu ulifanyikwa mtandaoni , makitabani ,na uwandani . maktabani niliyadurusu mapitiombalimbali kamavile ; majaridi ,tasnifu ,za watafiti wengine , tahakiki , makala na vitabu . kwa namna fulani mbinu hizi zilinisaidia katika kukusanya data mbalimbali zinazohsiana na utafiti huu. utafiti ulitumia nadharia ya ufeminisit . uchambuzi wa data uluiegemea katika maelezo . | en_US |
dc.publisher | Makerere University | en_US |
dc.title | usawiri wa mwanamke katika tamthilia ya kivuli kinaishi na kimya kimya kimya | en_US |
dc.type | Thesis | en_US |