• Login
    View Item 
    •   Mak UD Home
    • College of Education and External Studies (CEES)
    • School of Education (SEd.)
    • School of Education (SEd.) Collection
    • View Item
    •   Mak UD Home
    • College of Education and External Studies (CEES)
    • School of Education (SEd.)
    • School of Education (SEd.) Collection
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Matumizi ya mbinu ya majadiliano ya vikundi katika ufundishaji na ujifunzaji wa sarufi ya kiswahili katika shule za upili katika wilayani mitooma,Uganda

    Thumbnail
    View/Open
    Undergraduate dissertation (801.4Kb)
    Date
    2021-05-06
    Author
    Aturinda, Immaculate
    Metadata
    Show full item record
    Abstract
    Utafiti huu ulichunguza matumizi ya mbinu ya majadiliano ya vikundi katika ufundishaji na ujifunzaji wa sarufi ya Kiswahili katika shule za upili wilayani Mitooma.suala la utafiti ni kuwa walimu wengi huwa na matatizo katika ufundishaji wa sarufi na wanafunzi wanashindwa sarufi ya Kiswahili kwa matumizi mabaya ya mbinu za kufundishia sarufi. Lengo kuu ni kutathimini ubora wa matumizi ya mbinu ya majadiliano ya vikundi katika ufundishaji na ujifunzaji wa sarufi ya Kiswahili. Madhumuni ya utafiti huu ni kutambua majukumu ya walimu na wanafunzi katika majadiliano ya vikundi. Machukulio ya utafiti ni kuwa wasailiwa watatoa majibu sahihi kuhusu matumizi ya mbinu ya majadiliano ya vikundi katika ufundishaji na ujifunzaji wa sarufi ya Kiswahili katika kidatu cha tatu. Utafiti huu uliongozwa na natharia ya majukumu ya Robert Owen ya mwaka 1998.maandishi ya waandishi wengine yaliangaliwa ili kuchunguza usaili wa mbinu ya majadiliano ya vikundi katika ufundishaji na ujifunzaji wa sarufi ya Kiswahili. Mahali pakufanyia utafiti ni shule za upili katika kaunti ya Bitereko, wilayani Mitooma. Walengwa ni walimu na wanafunzi wanaosoma Kiswahili kutoka kidatu cha tatu katika shule zilizoteuliwa. Ukusanyaji wa data ulifanywa kupitia hojaji,kwa walimu na wanafunzi katika shule ziliziteuliwa. Na pia data ilichanganuliwa. Utafiti huu ni muhimu sana kwa walimu wanaofundisha Kiswahili na wizara ya elimu. Utafiti huu unapendekeza walimu watumie mbinu ya majadiliano ya vikundi katika ufundishaji wa sarufi ya Kiswahili ili kushirikisha wanafunzi katika kazi na kuelewa vizuri muundo wa luhga ya Kiswahili.
    URI
    http://hdl.handle.net/20.500.12281/10650
    Collections
    • School of Education (SEd.) Collection

    DSpace 5.8 copyright © Makerere University 
    Contact Us | Send Feedback
    Theme by 
    Atmire NV
     

     

    Browse

    All of Mak UDCommunities & CollectionsTitlesAuthorsBy AdvisorBy Issue DateSubjectsBy TypeThis CollectionTitlesAuthorsBy AdvisorBy Issue DateSubjectsBy Type

    My Account

    LoginRegister

    Statistics

    Most Popular ItemsStatistics by CountryMost Popular Authors

    DSpace 5.8 copyright © Makerere University 
    Contact Us | Send Feedback
    Theme by 
    Atmire NV