Nafasi ya tamthilia kivuli kinaishi na janga la werevu kwa uongozi mji wa busia.

Date
2020-10
Authors
Ogalle, Eunice Achieng.
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Makerere University
Abstract
Utafiti huu unahusu nafasi ya tamthilia Kivuli Kinaishi na Janga la Werevu kwa uongozi wa mji wa Busia. Utafiti huu utajikota katika kusawiri uongozi uliopo mji wa Busia ukilinganishwa na mtazamo wa mwandishi Said A.Mohamed katika tamthilia zake teule. Sura hii inatotao habari za kimsingikwa mambo mengi ambayo yanahusiana na utafiti ninaonuia kuufanya kama vile: usuli wa mada, suala la utafiti, malengo ya utafiti au madhumuni ya utafiti, maswali ya utafiti na upeo wa utafiti.mambo haya ni muhimu kwa vile yanamulikia mawazo muhimu kuhusu mada nzima ya utafiti huu.
Description
Tasnifu Hii Imetolewa Ili Kutosheleza Baadhi ya Mahitaji ya ya Kwanza Katika Chuo Kikuu cha Makerere
Keywords
Nafasi, Kivuli kinaishi, Janga la werevu
Citation