Matumizi ya mbinu za tashbihi na jazanda katika tamthilia za Kiswahili

Date
2020-12
Authors
Arinaitwe, Dickens
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Makerere University
Abstract
Lengo la jumla: Kutathmini mbinu ya tashbihi na jazanda katika tamthilia teule ili kubaini vipengele vinavyotofautiana na vinavyofanana katika kutumia lugha ili kufikisha ujumbe katika mkabala wa fasihi linganishi. Malengo mahususi: Utafiti huu una malengo mahususi yafuatayo;  Kuainisha vipengele vya lugha katika tamthilia teule.  Kulinganisha na kulinganua vipengele vya lugha katika tamthilia  Kuelezea junsi tashbihi na jazanda zinavyotofautishwa katika tamthilia ya kilio cha haki, kimya kimya
Description
A dissertation submitted to the College of Education and External Studies in partial fulfillment of the requirements for the award of the degree of Bachelor of Arts with Education of Makerere University. Kazi ya Mwisho Iliyoelezwa kwa Shule la Walimu kwa ajili ya kutimiza sehemu ya masharti ya kutunikiwa shahada ya kwanza ya ualimu chuoni Makerere.
Keywords
Language techniques, play writing, plays, Kiswahili, Mbinu za maandishi, kuandika tamthilia, Tamthilia
Citation
Arinaitwe, D. (2020). Matumizi ya mbinu za tashbihi na jazanda katika tamthilia za Kiswahili. (Unpublished Undergraduate Dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda.