Matumizi ya mbinu za lugha katika kuendeleza maudhui katika tamthilia ya kilio cha haki na mizigo
Abstract
Tamthilia ni utanzu wa fasihi ambao huwasilishwa kupitia mazungumza na uigizaji ili kuwakilisha ujumbe wake. Kulingana na wamitila (2007) huu no utanzu ambao huandikwa mtindo wa mazungumza ya wahusika.