usawiri wa mwanamke katika tamthilia ya kivuli kinaishi na kimya kimya kimya
Abstract
makala hii inahusu usawiri wa mwanamke katika tamithilia ya kivuli kinaishi na kimya kimya kimya . usawiri wa mwanamke ni suala au mchoro wa wahusika wa kike katika kazi za fasihi . usawiri wa mwanamke unajengwa na vipengele kamavile vitendo , nafasi , mtazamo wa wahusika wa kike wanavyo chukua katika tamthili fulani . utafiti huu ulifanyikwa mtandaoni , makitabani ,na uwandani . maktabani niliyadurusu mapitiombalimbali kamavile ; majaridi ,tasnifu ,za watafiti wengine , tahakiki , makala na vitabu . kwa namna fulani mbinu hizi zilinisaidia katika kukusanya data mbalimbali zinazohsiana na utafiti huu. utafiti ulitumia nadharia ya ufeminisit . uchambuzi wa data uluiegemea katika maelezo .