Mchango wa riwaya ya nyota ya rehema kwa maendeleo ya wanawake katika jamii: [the role of women in the development of society by referring to the novel Nyota Ya Rehema]
Abstract
Utangulizi:
Utafiti huu utahusu mada ambayo ni mchango wa riwaya ya nyota ya rehema kwa maendeleo ya wanawake katika jamii. Utafiti huu utachungunza jinsi mwanamke alivyosaidia katika maendeleo ya jamii yake hususani.
Lengo la utafiti:
Lengo kuu la utafiti huu ni Kuchunguza nafasi ya katika maendeleo ya jamii ya riwaya ya Nyota ya Rehema.
Swali la utafiti:
Je, mwanamke amechangia nini katika maendeleo ya jamii yake? Mtafiti amelenga swali hii kwa sababu ya kuwa alitaka kutathimini nafasi ya mwanamke katika ujenzi wa jamii kwa kurejelea riwaya ya Nyota ya Rehema.