Athari za teknolojia katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili: [the effects of technology on Swahili language learning]
Abstract
Matini hii inahusu athari za teknolojia katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili. Jinsi teknolojia inavyoweza kuathiri ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili yaani athari chanya na athari hasi. Matini hii ina sura moja, na sura hii inajumuisha utangulizi wa mada, usuli wa mada, suala la utafiti, lengo la matini, swali la utafiti, yaliomo na hitimisho.
[This text is about the effects of technology in learning the Kiswahili language. How technology can affect the learning of the Kiswahili language i.e. positive effects and negative effects.]