Athari za teknolojia katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili: [the effects of technology on Swahili language learning]

Date
2022-02-05
Authors
Tushemerirwe, Monic
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Makerere University
Abstract
Matini hii inahusu athari za teknolojia katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili. Jinsi teknolojia inavyoweza kuathiri ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili yaani athari chanya na athari hasi. Matini hii ina sura moja, na sura hii inajumuisha utangulizi wa mada, usuli wa mada, suala la utafiti, lengo la matini, swali la utafiti, yaliomo na hitimisho. [This text is about the effects of technology in learning the Kiswahili language. How technology can affect the learning of the Kiswahili language i.e. positive effects and negative effects.]
Description
Tasnifu iliyowasilishwa kwa Idara ya Lugha za Kiafrika katika kutimiza kwa kiasi mahitaji ya kutunukiwa Shahada ya Kwanza ya Sanaa na Elimu ya Chuo Kikuu cha Makerere. [A dissertation submitted to the Department of African Languages in partial fulfillment of the requirements for the award of the degree of Bachelor of Arts with Education of Makerere University.]
Keywords
teknolojia, lugha ya Kiswahili, teknolojia na ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili, ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili, technology and Swahili learning
Citation
Tushemerirwe, M. (2022). Athari za teknolojia katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili: [the effects of technology on Swahili language learning]. (Unpublished Undergraduate Dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda.