Matumizi ya lugha ya Kiswahili katika ufunzaji na ujifunzaji wa shule za upili nchini Uganda
Abstract
Sura ya kwanza ilijihusisha na usuli wa mada, suala la utafiti, madhumuni ya utafiti, upeo wa utafiti na changamoto zilizomkumba mtafiti.Matini hii ilihusu mada ambayo ni Matumizi ya lugha ya Kiswahili katika ufunzaji na ujifunzaji wa shule za upili nchini Uganda.