• Login
    View Item 
    •   Mak UD Home
    • College of Education and External Studies (CEES)
    • School of Education (SEd.)
    • School of Education (SEd.) Collection
    • View Item
    •   Mak UD Home
    • College of Education and External Studies (CEES)
    • School of Education (SEd.)
    • School of Education (SEd.) Collection
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Athari za mazingira ya mwandishikatika Udhihishhaji wa Maudhui katika riwaya teule za Kiswahili

    Thumbnail
    View/Open
    JOVINA-JULIUS-CEES.pdf (602.1Kb)
    Date
    2021-01
    Author
    Kaserwa, Jovina J.
    Metadata
    Show full item record
    Abstract
    Ningependa kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kufikia hatua hii ya kukamilisha utafiti huu nilioufanya kwa miezi kadhaa. Yeye ndiye aliyenijalia nguvu, uwezo wa fikra na utashi wa kufanya utafiti huu ambao leo hii nauhitimisha. Kwake yeye Mungu nasema AsanteMungu kwa yote ulionitendea. Napenda pia kutumia fursa hii kumshukuru sana msimamizi wangu Bw. Nelson Nsereko kwa kunifundisha na kuniongoza katika utafiti huu mpaka hatua hii tuliyofikia hivi sasa. Mhadhiri wangu hakuchoka katika kunielekeza na kunitia moyo hata pale nilipoonekana kukata tamaa. Mhadhiri wangu alinitaka niwe mvumilivu kwani siku moja nitamaliza shule na kutunukiwa shahada yangu. Napenda pia kuishukuru familia yangu kwa kunijali na kunipenda. Watu wa familia yangu wamekuwa bega kwa bega na mimi katika kipindi chote cha masomo yangu kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Kwa hakika sina cha kuwalipa zaidi ya kuwaombea dua kwa Mwenyezi Mungu Wingi wa rehema na mwenye kurehemu. Mwenyezi Mungu awalipe malipo mema.
    URI
    http://hdl.handle.net/20.500.12281/13400
    Collections
    • School of Education (SEd.) Collection

    DSpace 5.8 copyright © Makerere University 
    Contact Us | Send Feedback
    Theme by 
    Atmire NV
     

     

    Browse

    All of Mak UDCommunities & CollectionsTitlesAuthorsBy AdvisorBy Issue DateSubjectsBy TypeThis CollectionTitlesAuthorsBy AdvisorBy Issue DateSubjectsBy Type

    My Account

    LoginRegister

    Statistics

    Most Popular ItemsStatistics by CountryMost Popular Authors

    DSpace 5.8 copyright © Makerere University 
    Contact Us | Send Feedback
    Theme by 
    Atmire NV