Kuchambua historia na maendeleo ya riwaya za Kiswahili nchini Uganda kuanzia mwaka wa 2005-sasa.
Kuchambua historia na maendeleo ya riwaya za Kiswahili nchini Uganda kuanzia mwaka wa 2005-sasa.
Date
2023-01-17
Authors
Mogona, Atunga Lawrence
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Makerere University
Abstract
Utafiti huu unahusu,Kuchambua Historia na maendeleo ya Riwaya za Kiswahili Nchini Uganda kuanzia Mwaka wa 2005-Sasa.Katika Sekta ya Elimu .Pia Utafiti huu Umedadavua Kwa Undani Changamoto Ambazo waandishi Wa Riwaya za Kiswahili Wanakumbana Nchini Uganda na Kupitia.Mwishowe Utafiti huu umetoa Pendekezo Chinzi Changamoto Hizo zitatatuliwa.
Description
TASNIFU NINAYOWASILISHA KWA AJILI YA KUTIMIZA SEHEMU YA MASHARTI YA JARIBIO YA KATI MUHULA WA PILI MWAKA WA TATU (KISWAHILI RESEARCH METHODS) KATIKA CHUO KIKUU CHA MAKERERE UNIVERSITY.
Keywords
Kishahilli Riwaya,
Uganda
Citation
Mogona, A.L. (2023). Kuchambua historia na maendeleo ya riwaya za Kiswahili nchini Uganda kuanzia mwaka wa 2005-Sasa.(Unpublished Undergraduate Dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda.