ELIMU KAMA NYENZO YA KUINUA NAFASI YA MWANAMKE KATIKA RIWAYA YA KISWAHILI : KWA KUZINGATIA RIWAYA ZA MSURURU WA USALITI NA NGUVU YA SALA .
Abstract
Utafiti huu ulishughurikia uchunguzi wa namna elimu inavyotumiwa kama chombo cha kuinua nafasi ya mwanamke katika riwaya za Kiswahili kwa kurejelea riwaya ya Msururu wa usaliti na riwaya ya Nguvu ya Sala, halafu na kuchunguza vyombo ambavyo vinatumiwa kuinua nafasi ya Mwanamke.