Athari za lugha ya Kimeru katika ufundishaji wa maneno ya mkopo katika Kiswahili
Abstract
Athari ya Lugha ya Kimeru katika ufundishaji wa maneno ya Kiswahili kwa kuangalia yale maneno ambayo ni ya mkopo katika lugha ya Kimeru na jinsi yameadhiri ufundishaji wa lugha ya Kiswahili