Ulinganishaji wa hadhi ya mwanamke Mswahili na Mmeru katika fasihi ya Kiswahili kwa kurejelea tamthilia za Zaribu Chungu na Natala
Abstract
Utafiti huu unashugulikia kuchambua hadhi ya mwana mke katika tamthilia za zabibu
chungu na natala katika hali ya kuchambua suala ya utafitia katika vitabu teule ambayo
tulitambua ya kwamba mwanamke amepewa hadhi ya chini katika vitabu vyote viwili.