Matumizi ya ushairi katika Riwaya ya Mama ee

Date
2022-11
Authors
Ashaba, Ritah
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Ashaba Ritah
Abstract
Utafiti huu unazungumzia juu ya matumizi ya mashairi katika tamthilia ya mama ee na Ari Katin Mwachofi. Ilihusu baadhi ya istilahi za kishairi ambazo mwandishi wa tamthilia ya mama ee alizotumia katika uandishi wake.
Description
Tasnifu ya utafiti iliyowasilishwa katika Idara ya Lugha na sanaa kwa lengo la kufanikisha baadhi ya mahitaji ya Shahada ya kwanza katika chuo kikuu cha Makerere
Keywords
Mama ee
Citation
Ashaba, R. (2022). Matumizi ya ushairi katika Riwaya ya Mama ee; unpublished dissertation, Makerere University