Nafasi ya mwanamke mwisilamu katika fasihi ya Kiswahili
Abstract
Nafasi ya Mwanamke Mwisilamu katika Fasihi ya Kiswahili inaongea kwa Mwanamke mwisilamu katika jamii mbali mbali huwa ana nafasi yake maalumu, na nafasi yake huwa inaendana na namna ya jamii yake inavyompa thamani kiumbe huyu. Kila jamii hua inamuhesabu mwanamke kuwa ni mmoja kati ya viungo vya jamii, lakini tofauti huwa inapatikana kwa namna ya kila jamii inavyo muangalia mwanamke.