dc.contributor.author | Akampwera, Dianah | |
dc.date.accessioned | 2023-01-23T12:33:03Z | |
dc.date.available | 2023-01-23T12:33:03Z | |
dc.date.issued | 2022-12-09 | |
dc.identifier.citation | Akampwera, D. (2022). Utumiaji wa Nyimbo kama mbinu ya kufundishia Kiswahili. (Unpublished Undergraduate Dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda. | en_US |
dc.identifier.uri | http://hdl.handle.net/20.500.12281/14682 | |
dc.description | Tasinifu utafiti iliyowasilishwa katika Chuo Kikuu cha Makerere kwa lengo la kukamilisha baadhi ya mahitaji ya Shahada ya Ualimu | en_US |
dc.description.abstract | Utafiti huu ulishughulikia matumizi ya nyimbo kama Mbinu Moja wapo wa kufundishia sarufi ya kiswahili. Basi hivyo ilinibidi kutayarisha hojaji na kwenda nyanjani kupata maoni ya wahojiwa. Utafiti huu pia ulidadavua Mbinu nyingine na nadharia ya kufundisha lugha ya Kiswahili. Mwishowe utafiti huu uligundua mapendekezo juu ya ufundishaji wa sarufi ya kiswahili. | en_US |
dc.description.sponsorship | Government of Uganda | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Makerere university | en_US |
dc.subject | Matumizi ya nyimbo darasani | en_US |
dc.title | Utumiaji wa Nyimbo kama mbinu ya kufundishia Kiswahili | en_US |
dc.type | Thesis | en_US |