Athari ya lugha ya Kiganda katika uzungumzaji wa Kiswahili
Abstract
Mradi huu unahusu mada ambayo ni athari ya lugha ya Kiganda katika uzungumzaji wa Kiswahili. Mtafiti atachunguza athari za lugha ya Kiganda katika uzungumzaji wa lugha ya Kiswahili kwa kurejelea matumizi yake.