Usawiri wa mwanamke wa kisasa katika tamthilia teule za Kiswahili Kwenye Ukingo wa Thim (1988) na Mama Ee (1987): [Analysis of how the contemporary woman is portrayed in the novels "Kwenye Ukingo wa Thim (1988)" by Said A. Mohamed and "Mama Ee (1987)" by Ali Katini Mwachfu.]]
Abstract
Lengo kuu:
Lengo kuu la utafiti huu ni kuchunguza usawiri wa mwanamke wa kisasa katika tamthilia teule za Kiswahili Kwenye Ukingo wa Thim (1988) na Mama ee (1987).
Malengo Mahususi:
(i) Kutathmini namna mwanamke anavyosawiriwa katika tamthilia ya Kwenye Ukingo wa Thim (1988) na Mamam ee (1987).
(ii) Kubainisha majukumu ya wahusika wa kike ndani ya na mwanamme tamthilia ya Kwenye Ukingo wa Thim na Mama ee (1987).
(iii) Kupendekeza njia bora za kumtunza mwanamke katika jamii ya leo.
[Abstract in English:
Analysis of how the contemporary woman is portrayed in the novels "Kwenye Ukingo wa Thim (1988)" by Said A. Mohamed and "Mama Ee (1987)" by Ali Katini Mwachfu.]