Athari za lafudhi katika lugha ya Kikiga katika ujifunzaji na ufundishaji wa lugha ya Kiswahili: [Effects of Kikiga language accent on the teaching and learning of Kiswahili language].
Abstract
Lengo kuu: Lengo kuu la utafiti huu ni kutambua athari za kimatamshi za maneno kati ya lugha ya Kikiga na Kiswahili.
Malengo mahususi:
1. Kuchunguza uchopekaji na udondoshaji katika lugha ya kikiga na Kiswahili.
2. Kubainisha jinsi hitilafu za kimatamshi katika lugha ya Kikiga zinavyoathiari ujifunzaji wa Kiswahili na kupendekeza njia za kudhibiti hitilafu hizo baina ya lugha ya Kikiga na lugha sanifu ya Kiswahili.
Abstract in English:
Effects of Kikiga language accent on the teaching and learning of Kiswahili language