Nyimbo za tohara katika jamii ya Sebei
Abstract
Utafiti huu iliuhusu nyimbo za tohara katika jamii ya sebei, lazima mwanamume yeyote katika
jamii ya sebei atahiri iliatibitiswe mwanamume kamili na pia wakati wa visa hivi lazima nyimbo
za tohara zifuatiswe.