dc.contributor.author | Akampurira, Brian | |
dc.date.accessioned | 2023-10-02T10:47:55Z | |
dc.date.available | 2023-10-02T10:47:55Z | |
dc.date.issued | 2023-09 | |
dc.identifier.citation | Akampurira, B. (2023). Athari za matamshi ya Kinyankore katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili katika shule za upili wilayani Ntungamo, kusini -magharibi mwa Uganda. (Unpublished Undergraduate Dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda. Makerere University, Kampala, Uganda. | en_US |
dc.identifier.uri | http://hdl.handle.net/20.500.12281/16516 | |
dc.description | A dissertation submitted to the Department of African Languages in partial fulfillment of the requirements for the award of the degree of Bachelor of Arts with Education of Makerere University. | en_US |
dc.description.abstract | Malengo ya Utafiti. Lengo Kuu: Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchanganua athari za matamshi ya Kinyankore katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili katika shule za upili wilayani Ntungamo, Kusini-Magharibi mwa Uganda. Malengo Mahususi. Utafiti huu ulikuwa na malengo mahususi mawili: (i) Kuchunguza athari za lugha ya Kinyankore katika matamshi ya vitenzi vya Kiswahili. (ii) Kubainisha athari za lugha ya Kinyankore katika matamshi ya nomino za Kiswahili. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Makerere University | en_US |
dc.subject | Language | en_US |
dc.subject | Swahili | en_US |
dc.subject | Kiswahili | en_US |
dc.subject | Runyankore | en_US |
dc.subject | Pronunciation | en_US |
dc.title | Athari za matamshi ya Kinyankore katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili katika shule za upili wilayani Ntungamo, kusini -magharibi mwa Uganda | en_US |
dc.type | Thesis | en_US |