Mtindo kama unavyojidhihirisha katika tamthilia ya mkwamo
Abstract
Lengo kuu la utafiti huu ni kubainisha vipengele vya mtindo katika tamthilia ya Mkwamo. Malengo mahususi ya utafiti huu ni kubaini mtindo mbalimbali unavyojitokeza katika tamthilia ya Mkwamo. Kufafanua jinsi mtindo unavyochangia katika uendelezaji wa maudhui ya mwandishi. Utafiti huu ulikuwa wa maktabani na ulifanyika jijini Kampala. [Translated abstract: The main goal of this study is to determine the elements of style in the drama Mkwamo. The specific objectives of this study are to determine the various styles that appear in the drama Mkwamo. Explain how style contributes to the development of the author's content.]