Nafasi ya mwanamke katika ujenzi wa jamii katika riwaya ya Uhasama Kilimani
Abstract
Lengo kuu la utafiti: Lengo kuu la utafiti huu ni kuchunguza nafasi ya mwanamke katika ujenzi wa jamii katika riwaya ya Uhasama Kilimani. Malengo mahususi: i). Utafiti huu ulikuwa na malengo mahususi mawili ambayo ni: Kuchunguza nafasi ya mwanamke katika riwaya ya Uhasama Kilimani. ii). Kubainisha mchago wa mwanamke katika ujenzi wa jamii katika riwaya ya Uhasama Kilimani.