dc.contributor.author | Ramathan, Moses | |
dc.date.accessioned | 2024-01-05T09:50:59Z | |
dc.date.available | 2024-01-05T09:50:59Z | |
dc.date.issued | 2023-10 | |
dc.identifier.citation | Ramathan, M. (2023). Nafasi ya mwanamke katika ujenzi wa jamii katika riwaya ya Uhasama Kilimani. (Unpublished undergraduate dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda. | en_US |
dc.identifier.uri | http://hdl.handle.net/20.500.12281/18089 | |
dc.description | Tasnifu iliyowasilishwa kwa ajili ya kutimiza masharti ya digrii ya kwanza ya chuo Kkikuu cha Makerere | en_US |
dc.description.abstract | Lengo kuu la utafiti: Lengo kuu la utafiti huu ni kuchunguza nafasi ya mwanamke katika ujenzi wa jamii katika riwaya ya Uhasama Kilimani. Malengo mahususi: i). Utafiti huu ulikuwa na malengo mahususi mawili ambayo ni: Kuchunguza nafasi ya mwanamke katika riwaya ya Uhasama Kilimani. ii). Kubainisha mchago wa mwanamke katika ujenzi wa jamii katika riwaya ya Uhasama Kilimani. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Makerere University | en_US |
dc.subject | Nafasi | en_US |
dc.subject | Mwanamke | en_US |
dc.subject | Ujenzi | en_US |
dc.subject | Riwaya | en_US |
dc.title | Nafasi ya mwanamke katika ujenzi wa jamii katika riwaya ya Uhasama Kilimani | en_US |
dc.type | Thesis | en_US |