• Login
    View Item 
    •   Mak UD Home
    • College of Education and External Studies (CEES)
    • School of Education (SEd.)
    • School of Education (SEd.) Collection
    • View Item
    •   Mak UD Home
    • College of Education and External Studies (CEES)
    • School of Education (SEd.)
    • School of Education (SEd.) Collection
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Kuchunguza athari ya lugha ya Kikonjo katika kujifunza lugha ya Kisawhili

    Thumbnail
    View/Open
    APIO-CEES-BAED.pdf (436.9Kb)
    Date
    2023-10-16
    Author
    Apio, Catherine
    Metadata
    Show full item record
    Abstract
    Lengo kuu la utafiti huu ni kujua jinsi ambavyo mtoto wa kikonzo anayejifunza lugha ya Kiswahili anavyoathiriwa na lugha yake ya mama katika harakati za kujifunza lugha ya kiswhili sanifu. Utafiti huu umefanywa katika mjini Kasese.Taasisi mbili zilishilikishwa kwa shule za sekondari kasese na Hima Green Hill. Pia wataaluma ( wazazi) wa vijiji hivyo Kasese na Hima.Utafiti huu umetumia mbinu ya dodoso, hojaji na mahojiano ya makundi katika kusanya data. Matokeo ya utafiti huu umebaini kwamba athari ya lugha ya kikonjo katika kujifunza lugha ya Kiswahili sanifu inatokana na sababu ya Watoto kuhamisha uelewa wa lugha ya kwanza ya kikonjo kwenda lugha ya pili ambayo ni lugha ya Kiswahili. Watoto walio wengi wana athari ya lugha ya mama. Mapendekezo ya utafiti ni kwamba lugha ya kikonjo inaleta athari kwa Watoto wakikonjo wenyewe wanapokuwa wanajifunza lugha ya Kiswahili sanifu. Mtoto wa kikonjo akijifunza lugha ya Kiswahili tangu utotoni kitamwezesha kuimudu lugha hii ya Kiswahili sanifu. Kiswahili kimekuwa lugha inayotumiwa katika ngazi mbalimbali za kielimu, maofisini, serikali.
    URI
    http://hdl.handle.net/20.500.12281/18594
    Collections
    • School of Education (SEd.) Collection

    DSpace 5.8 copyright © Makerere University 
    Contact Us | Send Feedback
    Theme by 
    Atmire NV
     

     

    Browse

    All of Mak UDCommunities & CollectionsTitlesAuthorsBy AdvisorBy Issue DateSubjectsBy TypeThis CollectionTitlesAuthorsBy AdvisorBy Issue DateSubjectsBy Type

    My Account

    LoginRegister

    Statistics

    Most Popular ItemsStatistics by CountryMost Popular Authors

    DSpace 5.8 copyright © Makerere University 
    Contact Us | Send Feedback
    Theme by 
    Atmire NV