Nafasi ya lugha ya kwanza katika uundaji wa sentensi za Kiswahili: mfano kutoka lugha ya Kinyankore

Date
2024
Authors
Kenganzi, Lynet
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Makerere University
Abstract
Wanafunzi wanaojifunza lugha ya pili hufanya makosa mengi yakiwemo matamshi mabaya ya maneno na makosa ya uundaji wa sentensi hasa wanaoounda sentensi katika lugha ya pili. Kutokana na hali hiyo, wanaisimu wamekuwa katika mstari wa mbele kubaini athari za lugha Moja katika lugha ya pili kwa kutumia kipengele cha sintaksia ambacho kinahusiana na uundaji wa sentensi katika lugha Fulani. Vitabu,nakala na machapisho anuai yanayohusu uundaji wa sentensi katika lugha ya Kiswahili yamerejelewa ili kuchunguza athari za lugha moja kwa uudaji wa sentensi za lugha ya pili. Lugha ya Kinyankore ilirejelewa kama lugha ya kwanza na Kiswahili kama lugha ya pili. Kwa muhtasari, kazi hii imemulika nafasi ya lugha ya Kinyankore katika uundaji wa sentensi za lugha ya Kiswahili.
Description
Tasnifu ya utafiti inayowasilishwa katika taasisi ya Lugha Na Mawasiliano kitivo cha Lugha Za Kiafrika ili kutekeleza baadhi ya mahitaji ya shahada ya kwanza ya saana na Ualimu Ya Chuo Kikuu Cha Makerere.
Keywords
Kishwahili sentences, First language, Uganda, Runyankore
Citation
Kenganzi, L. (2024). Nafasi ya lugha ya kwanza katika uundaji wa sentensi za Kiswahili: mfano kutoka lugha ya Kinyankore (Unpublished undergraduate dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda.