Mchango wa redio katika uendelezaji wa lugha ya kiswahili nchini Uganda

Date
2024
Authors
Tusiime, Yuusuf
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Makerere University
Abstract
Ningependa kuitabaruku kazi hii kwa Wahadhiri wangu wa Chuo Kikuu Cha Makerere ambao wamejitahidi sana kunifundisha vizuri na kunipa mawaidha kila mara tangu mwaka wa kwanza hadi mwaka wa tati bila kuchoka.Pia,naitabaruku kwa wazazi wangu wapendwa kwa kunilea vizuri sana tangu utotoni hadi Sasa.
Description
A dissertation submitted to the Department of Linguistics in partial fulfillment of the requirements for the award of the Degree of Bachelor of Arts with Education of Makerere University.
Keywords
Radio stations, Uganda
Citation
Tusiime, Y. (2024). Mchango wa redio katika uendelezaji wa lugha ya kiswahili nchini Uganda (Unpublished undergraduate dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda.