Nafasi ya video Katina ufundishaji wa tamthilia ya light ya pili-Mfano wa tamthilia ya kiswahili Katika smile za upili Katika wilaya ya Ibanda, Nchini Uganda

Date
2024
Authors
Ahaisibwe, Edmond
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Makerere University
Abstract
Matumizi ya video Katika mawasiliano ni muhimu kabisa hasa hasa siku hizi. Katika shughuli za elimu , mbinu za kurahisisha mawasiliano hasa Katika darasa Katika darasa ni muhimu ili kuhakikisha Matokeo mema Katika matumizi ya Videokama zana ya teknolojia baada ya masomo.Tafifi nyingi zimeshafanywa kuhusu matumizi ya video na Vifaa vyake Katika shughuli za elimu. Ingawa hivyo hakuna yeyote ambaye aloshughulikia Nafasi ya video Katika Ufundishaji wa tamthilia ya kiswahili.Ndiyo Sababunilichagua kufanya Utafiti wangu kuhusu hili jambo . Basi Katika huu Utafiti, nafasiya matumizi ya Videoilichunguzwa . Utàfiti uliongozwa na nadharia ya Ukubalifu na matumizi ya Teknolojia iliyoasisiwa na Rogers(2003). Inafafanua hatua zinazopitia watumizi kabla ya kwanza kutumia Teknolojia mpya Katika shughuli zao . Utàfiti uliefemea muundo wa Kithamano na mkabala wa Usoroveya na ulifanywa Katika Shule teule za wilaya ya Ibanda yaani Shule 9 Kwa ujumla . Wasailiwa walipatikana kutoka Kwa ujumla ya Shule 9. Wasailiwa walikuwa 40. Mbinu za kuteua Sampuli zilikuwa Sampuli maksudi, Sampuli Nasibu Tabakishi na Sampuli Nasibu. Utàfiti ulitumia Hojaji na Mahojiano kama mbinu za kukusanya data. Hatimaye data hizo kuwasilisha na kuchanganuliwa na majedwali, nambari, na asilimia . Mtafiti alipata kwamba Shule chache Kwa zile zilizoteuliwa zinajaribu kutumia VideoKatika shughuli zakufundisha tamthilia ya kiswahili.Pia kukibainika kwamba kuna Changamoto zinazoathiri matumizi ya video kama zana ya teknolojia ya kufundishia. Kwa Mfano Ukosefu wa nguvu za umeme, mtandao duni.
Description
A dissertation submitted to the Department of Languages in partial fulfillment of the requirements for the award of the Degree of Bachelor of Arts with Education of Makerere University.
Keywords
Nafasi ya video, Ufundishaji wa tamthilia, Light ya pili, Nchini Uganda
Citation
Ahaisibwe, E. (2024). Nafasi ya video Katina ufundishaji wa tamthilia ya light ya pili-Mfano wa tamthilia ya kiswahili Katika shule za upili Katika wilaya ya Ibanda, Nchini Uganda (Unpublished undergraduate dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda.