Malangahe, Bernadet (Makerere University, 2021-12)
Tamthilia ni utanzu wa fasihi ambao huwasilishwa kupitia mazungumza na uigizaji ili kuwakilisha ujumbe wake. Kulingana na wamitila (2007) huu no utanzu ambao huandikwa mtindo wa mazungumza ya wahusika.