Maruti, Ibrahim Wafula (Makerere University, 2024-07)
Utafiti huu ulinuia kuchunguza maneno na matendo ya wahusika katika riwaya tatu za waandishi wawili tofauti; Euphrase Kezilahabi na Said Ahmed Mohamed ambazo ni Mzingie, Nguvu ya Sala na Babu Alipofufuka kwa msingi na ...