Masika, Mercyline (Makerere University, 2022-02-17)
Naitabaruku kazi hii kwa wazazi wangu wapendwa Bw. Saipuma Edson na Mama wangu Bi. Masika Moreen kwa imani waliyo nayo katika uwezo wangu. Pia kwa watu wengine walionisaidia kwa kujitolea ilinifanikishe masomo yangu.