Masisa, Emmanuel (Makerere University, 2023-10)
Lengo kuu la utafiti huu ni kubainisha vipengele vya mtindo katika tamthilia ya Mkwamo. Malengo mahususi ya utafiti huu ni kubaini mtindo mbalimbali unavyojitokeza katika tamthilia ya Mkwamo. Kufafanua jinsi mtindo ...