kabakanye, janepher (Makerere University, 2022-11)
Utafiti huu ulichunguza usawiri wa mwanamke kama kiumbe anayejikwamisha mwenyewe katika riwaya ya Utengano iliyoandikwa mwaka wa 1980 na mwandishi Said A Mohammed ambaye ni professor wa taaluma za fasihi na riwaya ya Nyota ...