Athari za Kikiga katika kujifunza kiswahili katika shule za upili walayani Kabale
Abstract
Sura hii ya hii ya utangulizi inaeleza juu ya usuli wa utafiti, maelezo kuhusu lugha ya
Kikiga, maelezo kuhusu lugha ya kiswahili, historia ya wakikiga, lengo kuu, maelengo
Mahususi ya utafiti,maswali ya utafitina umuhimu wa utafiti.