Browsing School of Education (SEd.) Collection by Subject "Tamthilia"
Now showing items 1-2 of 2
-
Matumizi ya mbinu za tashbihi na jazanda katika tamthilia za Kiswahili
(Makerere University, 2020-12)Lengo la jumla: Kutathmini mbinu ya tashbihi na jazanda katika tamthilia teule ili kubaini vipengele vinavyotofautiana na vinavyofanana katika kutumia lugha ili kufikisha ujumbe katika mkabala wa fasihi linganishi. Malengo ... -
Mikondo ya maudhui kwenye tamthilia teule za Kiswahili zenye mandhari ya ukoloni
(Makerere University, 2020-11)Kazi hii ninaitabarukia wazazi wangu, familia yangu na watu wengine kwa msaada walionipa katika safari yangu ya kufanya utafiti huu. iv Kwanza, ninamshukura sana Mwenyezi Mungu kwa kunijalia uzima na uwezo wa kukamilisha ...