Browsing School of Education (SEd.) Collection by Author "Tumukunde, Sophia"
-
Kutathmini mwanamke msomi kama chanzo cha ukombozi katika jamii kwa kurejelea tamthilia ya kimya kimya na riwaya ya msururu wa usaliti.
Tumukunde, Sophia (Makerere University, 2023-11-20)Tasnifu hii imeshughulikia mwanamke msomi kama chanzo cha Ukombozi katika jamii kwa kurejea Tamthilia ya kimya kimya na Msururu wa Usaliti. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kudadisi mwanamke msomi katika tamthilia na ...