Nafasi ya lugha ya kwanza katika uundaji wa sentensi za Kiswahili: mfano kutoka lugha ya Kinyankore
Nafasi ya lugha ya kwanza katika uundaji wa sentensi za Kiswahili: mfano kutoka lugha ya Kinyankore
| dc.contributor.author | Kenganzi, Lynet | |
| dc.date.accessioned | 2024-10-01T09:35:46Z | |
| dc.date.available | 2024-10-01T09:35:46Z | |
| dc.date.issued | 2024 | |
| dc.description | Tasnifu ya utafiti inayowasilishwa katika taasisi ya Lugha Na Mawasiliano kitivo cha Lugha Za Kiafrika ili kutekeleza baadhi ya mahitaji ya shahada ya kwanza ya saana na Ualimu Ya Chuo Kikuu Cha Makerere. | en_US |
| dc.description.abstract | Wanafunzi wanaojifunza lugha ya pili hufanya makosa mengi yakiwemo matamshi mabaya ya maneno na makosa ya uundaji wa sentensi hasa wanaoounda sentensi katika lugha ya pili. Kutokana na hali hiyo, wanaisimu wamekuwa katika mstari wa mbele kubaini athari za lugha Moja katika lugha ya pili kwa kutumia kipengele cha sintaksia ambacho kinahusiana na uundaji wa sentensi katika lugha Fulani. Vitabu,nakala na machapisho anuai yanayohusu uundaji wa sentensi katika lugha ya Kiswahili yamerejelewa ili kuchunguza athari za lugha moja kwa uudaji wa sentensi za lugha ya pili. Lugha ya Kinyankore ilirejelewa kama lugha ya kwanza na Kiswahili kama lugha ya pili. Kwa muhtasari, kazi hii imemulika nafasi ya lugha ya Kinyankore katika uundaji wa sentensi za lugha ya Kiswahili. | en_US |
| dc.identifier.citation | Kenganzi, L. (2024). Nafasi ya lugha ya kwanza katika uundaji wa sentensi za Kiswahili: mfano kutoka lugha ya Kinyankore (Unpublished undergraduate dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda. | en_US |
| dc.identifier.uri | http://hdl.handle.net/20.500.12281/18935 | |
| dc.language.iso | other | en_US |
| dc.publisher | Makerere University | en_US |
| dc.subject | Kishwahili sentences | en_US |
| dc.subject | First language | en_US |
| dc.subject | Uganda | en_US |
| dc.subject | Runyankore | en_US |
| dc.title | Nafasi ya lugha ya kwanza katika uundaji wa sentensi za Kiswahili: mfano kutoka lugha ya Kinyankore | en_US |
| dc.type | Thesis | en_US |