Kuchunguza Athari za Lafudhi ya Lugha ya Kimasaba katika matamshi ya Kiswahili

dc.contributor.author Nafula, Joy
dc.date.accessioned 2023-01-17T12:46:54Z
dc.date.available 2023-01-17T12:46:54Z
dc.date.issued 2022-11-30
dc.description Tasifu ninayowasilisha kwaajili ya kutimiza sehemu ya masharti ya muhula wa mwisho, mwaka watatu (kiswahili isimu). katika chuo kikuu cha Makerere. en_US
dc.description.abstract Utafiti huu umeshughulikia na kuchunguza Athari za Lugha za Lumasaba katika ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili, hasa kwa matamshi na namna matamshi hayo hutamkwa kwa Lugha tofauti na Yule mzawa anapokuwa anajifunza Lugha ya Kiswahili au Lugha za kigeni. Vilevile, Utafiti huu ulichunguza jinsi lafudhi ya lugha ya Lumasaba inaathiri matamshi ya Kiswahili. Athari ya Lughaya mama au Lughaya kwanza katika kusoma na kujifunza Kiswahili nakuongea lugha ya pili ambayo nitatizo linalozikabili jamii ya Bukusu na Bugisu wakati wanapojifunza kuongea lugha ya Kiswahili. Lafudhi ni changamoto kubwa sana kwa wasomi wa eneo hilo. Lafudhi ni namna ya kipekee ya kutamka matamshi unaoathiriwa na lughaya mama, mazingira yake ya kijiographia au kiwango ya eneo anapojifunza Lugha ya pili. en_US
dc.identifier.citation Nafula.J.(2022). Athari za Lafudhi ya Lugha ya Kimasaba katika matamshi ya Kiswahili (Haijachapishwa shahada ya kwanza utafiti) Makerere University, Kampala, Uganda en_US
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12281/14342
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Makerere University en_US
dc.subject Lafudhi en_US
dc.subject Matamshi en_US
dc.subject Athari en_US
dc.title Kuchunguza Athari za Lafudhi ya Lugha ya Kimasaba katika matamshi ya Kiswahili en_US
dc.type Thesis en_US
Files