Changamoto za ukombozi wa wanyonge katika tamthiliya ya Kilio cha Haki

dc.contributor.author Aijuka, Ronah
dc.date.accessioned 2023-02-07T10:21:37Z
dc.date.available 2023-02-07T10:21:37Z
dc.date.issued 2022-02-18
dc.description Tasnifu hii imetololewa ili kutosheleza baadhi maitaji ya kukamilisha shahada ya sanaa katika elimu ya chuo kikuu cha Makerere en_US
dc.description.abstract IKISRI: Makala hii inahusu uchunguzi wa changamoto zinazo kupigania haki zao katika tamthilia ya Kilio cha Haki wakumba wanyonge wakati wa (1987) ilioandikwa na A. Mazarui. Kwamfano kuna changamoto kama changamoto za utamaduni, changamoto za vifo, changamoto za kifamilia, changamoto za usaliti nakadhalika. Tafiti mbalimbali zimechunguza juu ya haki za wanyonge lakini kume kuwa ukosefu wa kutosha kuhusu haki za wanyonge ndiyo maana makala hii inajihusisha na changamoto zinazo wakumba wanyonge wakati wa kudai haki zao kwakutumia migomo na mandamano katika jamii. Nadh alia iliotumia katika makala hii ni nadhalia ya Umaksi ambayo inajionesha kwamba kati jamii kunu tabaka la juu ambapo niwa mabwenyenye na tabaka la chini ambapo ni watu wa kipato kidogo ambapo wale wa juu wananyanyasa wale wa nchini. Utafiti huu ulifanyiwa maktabani lakini pia mutandaoni. Kwa upande wa maktabani mtafiti aliweza kusoma nakala mbalimbali za Kiswahili na vitabu vya kiswahili. Tamthilia teule ya kiswahili ambao ni tamthilia ya Kilio cha Haki ch (1987) A. Mazrui ilisomwa kwa kina ilikuweza kupata angamoto za ukombozi wa wanyonge katika jamii. Matokeo ya utafili huu yalionyesha kwamba watu wakijalibu kudai haki zao na kujikomboa weza kupata changamoto na vikwazo mbalimbali ambazo huwasababishia kuchelewa kutimiza malengo yao. Abstract in English: Analysis of the challenges faced by the weak who were fighting for their rights according to the novel Kilio cha Haki written by A. Mazrui in 1987. en_US
dc.identifier.citation Aijuka, R. (2022). Changamoto za ukombozi wa wanyonge katika tamthiliya ya Kilio cha Haki. (Unpublished Undergraduate Dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda. en_US
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12281/15503
dc.language.iso en en_US
dc.publisher Makerere University en_US
dc.subject Changamoto za ukombozi en_US
dc.subject wanyonge en_US
dc.subject Kilio cha Haki en_US
dc.title Changamoto za ukombozi wa wanyonge katika tamthiliya ya Kilio cha Haki en_US
dc.type Thesis en_US
Files