Mikondo ya maudhui kwenye tamthilia teule za Kiswahili zenye mandhari ya ukoloni

dc.contributor.author Subai, Maureen A.
dc.date.accessioned 2022-05-05T11:46:47Z
dc.date.available 2022-05-05T11:46:47Z
dc.date.issued 2020-11
dc.description Tasnifu yautafiti iliyowasilishwa katika idara ya lugha za kiafrika na mawasilianoili kutosheleza maitaji ya shahada ya kwanza (BAED) katika chuo kikuu cha Makerere en_US
dc.description.abstract Kazi hii ninaitabarukia wazazi wangu, familia yangu na watu wengine kwa msaada walionipa katika safari yangu ya kufanya utafiti huu. iv Kwanza, ninamshukura sana Mwenyezi Mungu kwa kunijalia uzima na uwezo wa kukamilisha utafiti huu. Pasipo Rehema zake singeweza kukamilisha kazi hii nzito. Pili, ninamshukuru sana Bw. Nsereko Nelson wa Chuo Kikuu cha Makerere aliyekubali kuwa msimamizi wangu katika kazi hii. Hakuchoka kunitia moyo katika kipindi chote cha kazi hii. Ningependa kuwashukuru pia wahadhiri wangu wasomo la Kiswahili vote wa chuo Kikuu cha Makerere hasa Bw. Nsereko Nelson, Dkt Asiimwe Caroline, Bw. Kyomuhendo Victor, Bw. Wambete Francis, Bw. Ndyanabo Emmanuel, Dkt Jjingo Caesar na Dkt Masengo Innocent. Pia, shukrani zangu ziwaendee watafitiwa vote ambao walikubali kushiriki katika utafiti huu na kutoa data zilizotumika. Naishia nikiwashukuru wengine vote waliosaidia kwa namma moja au nyingine katika kufanikisha kukamilika kwa utafiti huu ambao hawako katika makundi tajwa hapo juu. en_US
dc.identifier.citation Subai, M. A. (2020). Mikondo ya maudhui kwenye tamthilia teule za Kiswahili zenye mandhari ya ukoloni (Unpublished undergraduate dissertation). Makerere University, Kampala Uganda) en_US
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12281/12160
dc.language.iso en en_US
dc.publisher Makerere University en_US
dc.subject Tamthilia en_US
dc.title Mikondo ya maudhui kwenye tamthilia teule za Kiswahili zenye mandhari ya ukoloni en_US
dc.type Thesis en_US
Files