Nafasi ya mwanamke katika ukombozi wa jamii: mfano wa tamthilia; Kimya kimya kimya na Chema chajiuza

dc.contributor.author Nuwajuna, Peter
dc.date.accessioned 2023-10-13T08:17:59Z
dc.date.available 2023-10-13T08:17:59Z
dc.date.issued 2023-10
dc.description Tasnifu ya utafiti inayowasiliswa katika Taasisi ya Lugha na Mawasiliano Kitivo Cha Lugha za Kiafrika ili kuteleza baadhi ya mahitagi ya Shahada ya Kwanza ya Saana na Ualimu ya Chuo Kikuu Cha Makerere en_US
dc.description.abstract Lengo kuu la utafiti huu kulingana na mada ya utafiti lilikuwa kuchunguza nafasi ya mwanamke katika ukombozi wa jamii kwa kupata mifano kutoka tamthilia za Kimya Kimya Kimya na Chema Chajiuza. Vilevile, utafiti huu uliongozwa na malengo makuu mawili ambayo ni; Kubaini nafasi hasi ya mwanamke katika Tamthilia ya Kimya Kimya Kimya na Chema Chajiuza na Kufafanua jinsi mwanamke anavyopambana na changamoto zinazotishia maisha yake katika Tamthilia ya Kimya Kimya Kimya na Chema Chajiuza ukiongozwa na nadharia ya ufeministi.Utafiti huu ulikuwa utafiti wa maktabani na ulifanyika kijijini Kampala katika maktaba ya Chuo Kikuu cha Makerere kwasababu ndio pahali yenye vitabu vilivyotakiwa yaani Chema Chajiuza na Kimya Kimya pamoja na marejeleo maalum. Matokeo ya utafiti huu yanaonyesha namna ambazo mwanamke anachorwa na nafasi hasi kama, kuwa mnyonge, kudharauliwa na mwanamme, kuachwa nyumbani na kadhalika. Vilevile, uwezo wa mwanamke unaonyeshwa yaani vile mwanamke anaweza kufanya ili kukomboa jamii yake kama; kuwa jasiri, mwenye heshima, mzalendo, msema ukweli na kadhalika ukiongozwa na tamthilia mbili teule Kimya Kimya Kimya na Chema Chajiuza. Utafiti huu unapendekeza kuwa watafiti wa kazi za fasihi wanaotafiti kuhusu taswira ya mhusika mwanamke wazingatie muktadha wa ukombozi na maendeleo ya jamii husika tangu taswira hii inaweza kubadilika kutegemea muktadha wa jamii na muda na tangu fasihi kama kioo cha jamii huakisi matukio katika jamii. en_US
dc.description.sponsorship Government of Uganda Direct Entry (National Merit) Scholarship Scheme. en_US
dc.identifier.citation Nuwajuna, P. (2023). Nafasi ya mwanamke katika ukombozi wa jamii: mfano wa tamthilia; Kimya kimya kimya na Chema chajiuza (Unpublished undergraduate dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda. en_US
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12281/16618
dc.language.iso en en_US
dc.publisher Makerere University en_US
dc.subject Women's influence in communities en_US
dc.subject Stand of women en_US
dc.subject Women en_US
dc.title Nafasi ya mwanamke katika ukombozi wa jamii: mfano wa tamthilia; Kimya kimya kimya na Chema chajiuza en_US
dc.type Thesis en_US
Files