Ulinganishaji wa changamoto zinazowakumba vijana katika riwaya za utengano na kufa kuzikana.

dc.contributor.author Twinomujuni, Vincent
dc.date.accessioned 2025-12-19T12:38:35Z
dc.date.available 2025-12-19T12:38:35Z
dc.date.issued 2025-12
dc.description A dissertation submitted to the College of Education and External Studies in partial fulfillment of the requirements for the award of the degree of Bachelor of Arts in Education of Makerere University. en_US
dc.description.abstract Utafiti huu ulishughulikia ulinganishaji wa changamoto zinazowakumba vijana katika riwaya za Utengano na Kufa kuzikana. Vijana ni kundi la watu wenye umri mdogo, katika kipindi cha ujana kati ya utoto na utu uzima. Riwaya ya Kufa kuzikana iliandikwa na Ken Walibora mwaka 2003. Riwaya hii ni hadithi inayohusu urafiki kati ya vijana wawili. Pia riwaya ya Utengano iliandikwa na Said A. Mahamed, mwaka 1980 ambazo zinazungumzia juu ya utengano kati ya wahusika mbali mbali. en_US
dc.description.sponsorship Self en_US
dc.identifier.citation Twinomujuni, V. ( 2025). Ulinganishaji wa changamoto zinazowakumba vijana katika riwaya za utengano na kufa kuzikana. (Unpublished Undergraduate dissertation), Makerere University, Kampala, Uganda. en_US
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12281/21622
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Makerere University en_US
dc.subject Youth friendship en_US
dc.subject Novels en_US
dc.title Ulinganishaji wa changamoto zinazowakumba vijana katika riwaya za utengano na kufa kuzikana. en_US
dc.type Other en_US
Files