Athari za Lafudhi ya Lugha ya Kinyankore katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili.

dc.contributor.author Murisa, Brian Rutebarika
dc.date.accessioned 2023-02-21T11:50:05Z
dc.date.available 2023-02-21T11:50:05Z
dc.date.issued 2023-02-06
dc.description A dissertation submitted to the College of Education and External Studies in partial fulfillment of the requirements for the award of the degree of Bachelor of Arts with Education of Makerere university. en_US
dc.description.abstract Kazi hii ilihusika na Uchunguzi wa athari za Lafudhi ya Kinyankore katika ujifunzaji wa Kiswahili.Utafiti huu ulikuwa na malengo matatu ambayo ni Kuchunguza tofauti za kifonolojia baina ya lugha ya Kinyankore na lugha ya Kiswahili, Kuchunguza jinsi lafudhi tofauti tofauti ya wakaazi wa jamii ya Wanyankore inavyoaathiri ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili Pamoja na Kueleza utofauti na uiano uliopo baina ya kipengele cha lafudhi na na vipengele vingine vya fonolojia arudhi, baina ya fonimu za Kinyankore na Kiswahili. en_US
dc.description.sponsorship Private en_US
dc.identifier.citation Murisa, B.R. (2023). Athari za Lafudhi ya Lugha ya Kinyankore katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili.(Unpublished Undergraduate Dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda. en_US
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12281/15728
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Makerere University en_US
dc.subject Phonology in languages en_US
dc.subject Kiswahili phonemes en_US
dc.subject Kinyankole phonemes en_US
dc.subject Accents en_US
dc.title Athari za Lafudhi ya Lugha ya Kinyankore katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili. en_US
dc.type Thesis en_US
Files