Usawiri wa mwanamke katika nyimbo zilizoibwa kwa kiswahili na Jose Chameleon

dc.contributor.author Tumwebaze, Anthony
dc.date.accessioned 2022-05-04T06:48:20Z
dc.date.available 2022-05-04T06:48:20Z
dc.date.issued 2022
dc.description.abstract Utafiti huu unachunguza athari za Kifonolojia za Kinyankore Katika Kujifunza Lugha ya Kiswahili, mintarafu stadi ya kusoma nchini Uganda hasa kwenye shule za upili. Utafiti huu unatumia nadharia ya Fonolojia ili kuweka baina athari hizo. Katika utafiti huu nimewasilisha na kuchambua na nimekuskusanya data kutoka kwa wanafunzi wenzangu ambao ni wazungumzaji wa lugha ya kinyankore, nimeandika maneno na kuwauliza jinsi wanavyoyasoma kwa kiswahili na nikagundua kuwa kuna baadhi ya fonimu zinatamkwa vibaya na hii ni kwa sababu ya lugha ya mama. Nitaelezea aina za fonimu za Kinyankore na athari za Lugha ya Kinyankore katika Kujifunza Lugha ya Kiswahili katika mantarafu shule za upili. Sio tu kiswahili ambayo huathiriwa na lugha mama jinsi utafiti huu unavyosisitiza lakini katika hali yoyote ambapo kuna ujifunzaji wa lugha ya pili, lugha ya kwanza inabidi kuingilia ufundishaji na ujifunzaji wa lugha hiyo. en_US
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12281/12088
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Makerere University en_US
dc.subject Songs en_US
dc.subject Women en_US
dc.subject Kiswahili songs en_US
dc.title Usawiri wa mwanamke katika nyimbo zilizoibwa kwa kiswahili na Jose Chameleon en_US
dc.title.alternative How a lady is potrayed in the songs of Jose Chameleon sung in Kiswahili en_US
dc.type Thesis en_US
Files