Athari za Kikiga katika kujifunza kiswahili katika shule za upili walayani Kabale

Date
2018-09
Authors
Niwampeire, Brenda
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Makerere University
Abstract
Sura hii ya hii ya utangulizi inaeleza juu ya usuli wa utafiti, maelezo kuhusu lugha ya Kikiga, maelezo kuhusu lugha ya kiswahili, historia ya wakikiga, lengo kuu, maelengo Mahususi ya utafiti,maswali ya utafitina umuhimu wa utafiti.
Description
Bachelors Degree
Keywords
ATHARI ZAKIKIGA, SHULE ZAUPI
Citation