Nafasi ya tamthilia kivuli kinaishi na janga la werevu kwa uongozi mji wa busia.

dc.contributor.author Ogalle, Eunice Achieng.
dc.date.accessioned 2021-05-18T09:37:14Z
dc.date.available 2021-05-18T09:37:14Z
dc.date.issued 2020-10
dc.description Tasnifu Hii Imetolewa Ili Kutosheleza Baadhi ya Mahitaji ya ya Kwanza Katika Chuo Kikuu cha Makerere en_US
dc.description.abstract Utafiti huu unahusu nafasi ya tamthilia Kivuli Kinaishi na Janga la Werevu kwa uongozi wa mji wa Busia. Utafiti huu utajikota katika kusawiri uongozi uliopo mji wa Busia ukilinganishwa na mtazamo wa mwandishi Said A.Mohamed katika tamthilia zake teule. Sura hii inatotao habari za kimsingikwa mambo mengi ambayo yanahusiana na utafiti ninaonuia kuufanya kama vile: usuli wa mada, suala la utafiti, malengo ya utafiti au madhumuni ya utafiti, maswali ya utafiti na upeo wa utafiti.mambo haya ni muhimu kwa vile yanamulikia mawazo muhimu kuhusu mada nzima ya utafiti huu. en_US
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12281/10753
dc.language.iso en en_US
dc.publisher Makerere University en_US
dc.subject Nafasi en_US
dc.subject Kivuli kinaishi en_US
dc.subject Janga la werevu en_US
dc.title Nafasi ya tamthilia kivuli kinaishi na janga la werevu kwa uongozi mji wa busia. en_US
dc.type Thesis en_US
Files