Nafasi ya teknolojia katika ujifunzaji wa Kiswahili kwa kuzingatia mtaala wa umilisi wa shule za upili nchini Uganda
Nafasi ya teknolojia katika ujifunzaji wa Kiswahili kwa kuzingatia mtaala wa umilisi wa shule za upili nchini Uganda
| dc.contributor.author | Abono, Sharon | |
| dc.date.accessioned | 2024-12-09T08:11:39Z | |
| dc.date.available | 2024-12-09T08:11:39Z | |
| dc.date.issued | 2024 | |
| dc.description | Tasnifu iliowasiliswa katika idara ya lugha za kiafrika ili kutimiza baadhi ya masharti ya kuhitimu shahada ya ualimu ya chuo kikuu cha Mukerere. | en_US |
| dc.description.abstract | Utafiti huu unalenga kuchambua nafasi ya teknolojia katika ujifunzaji wa Kiswahili Kwa kuzingatia Matala wa umilisi wa shule za upili nchini Uganda.Vilevile uchunguzi utazingatia vipengele vya teknolojia kama vile Kompyuta na Kompyuta kibao, programu za uandidshi na maadishi, matumizi ya mtando na zana za kurekodi sauti na video ili kuendeleza ujifunzaji wa Kiswahili.Matokeo ya utafiti huu yatatarajiwa kutoka mwanga juu ya faida ya Kiswahili katika kuboresha usitadi wa lugha ya Kiswahili Kwa wanfunzi na walimu.Utafiti uliowahi kufanyika hapo awali kuchuguza teknolojia na elimu , ulihusu Kiswahili katika kufundisha teknolojia katika shule za msingi nchini Tanzania na Kevogo (2018) | en_US |
| dc.identifier.citation | Abono, S. (2024). Nafasi ya teknolojia katika ujifunzaji wa Kiswahili kwa kuzingatia mtaala wa umilisi wa shule za upili nchini Uganda (Unpublished undergraduate dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda. | en_US |
| dc.identifier.uri | http://hdl.handle.net/20.500.12281/19973 | |
| dc.language.iso | other | en_US |
| dc.publisher | Makerere University | en_US |
| dc.subject | Kiswahili | en_US |
| dc.title | Nafasi ya teknolojia katika ujifunzaji wa Kiswahili kwa kuzingatia mtaala wa umilisi wa shule za upili nchini Uganda | en_US |
| dc.type | Thesis | en_US |