Uchambuzi wa tamthilia ya Mkwamo na Kilio Cha Haki kwa kutumia nadharia ya Umaksi

dc.contributor.author Gumisiiriza, Racheal
dc.date.accessioned 2023-01-30T12:25:46Z
dc.date.available 2023-01-30T12:25:46Z
dc.date.issued 2022-11-29
dc.description Tasnifu ya utafiti iliyowasilishwa katika taasisi ya sanaa na sayansi za jamii katika idara ya Lugha za Afrika ili kutimiza baadhi ya mahitaji ya Shahada ya Sanaa na Elimu ya Chuo Kikuu Makerere en_US
dc.description.abstract Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa uchambuzi wa Tamthilia ya Mkwamo na Kilio cha Haki kwa kutumia Nadharia ya Umaksi. Malengo mahususi ya utafiti huu yalikuwa ni; udhihirishaji wa matumizi ya nadharia ya Umaksi katika tamthilia ya Mkwamo, pia na udhihirishaji wa matumizi ya nadharia ya umaksi katika tamthilia ya Kilio cha Haki. Utafiti huu ulikuwa ni utafiti wa maktabani na ulifanyika katika jiji la Kampala.Kampala iliteuliwa kwasababu ndipo mahali ambapo maktaba zenye vitabu mbalimbali zinapatikana ikilinganishwa na sehemu nyingine.Nilitumia maktaba ya Chuo Kikuu cha Makerere.Matokeo ya utafiti yanaonesha kwamba tamthilia hizi mbili zinaonesha matumizi ya nadharia ya umaksi.Utafiti umegundua kuwa tamthilia ya Mkwamo na Kilio cha Haki zinatumia nadharia ya umaksi kama vile uongozi mbaya wa kunyanyasa na kukandamiza wenyeji wa Kasulenge inayoongozwa na mfalme Mkazo,dola,harakati za utabaka(tabaka la chini na tabaka la juu),umaskini na biashara (katika tamthilia ya Kilio cha Haki). Katika utafiti huu, mbinu zilizotumiwa kukusanya data ni usomaji kwa makini. Kwa hivyo ninapendekeza kuwa watafiti wengine wazifanyie utafiti zaidi tamthilia hizi mbili kwa kutumia nadharia nyingine kama umuundo, uhalsia. Kubaini matumizi ya lugha na dhamira kuu za vitabu hivi. Mwisho kabisa utafiti huu umetoa hitimisho na kwa ujumla mapendekezo kwa watafiti wengine watakaopenda kuchunguza matumizi ya nadharia ya umaksi. en_US
dc.identifier.citation Gumisiiriza, R. (2022). Uchambuzi wa tamthilia ya Mkwamo na Kilio Cha Haki kwa kutumia nadharia ya Umaksi. (Unpublished Undergraduate Dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda. en_US
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12281/15071
dc.language.iso en en_US
dc.publisher Makerere University en_US
dc.subject tamthilia en_US
dc.subject Mkwamo en_US
dc.subject Kilio Cha Haki en_US
dc.subject Nadharia ya Umaksi en_US
dc.subject novels en_US
dc.subject Kiswahili en_US
dc.subject Kiswahili fasihi en_US
dc.subject Kiswahili literature en_US
dc.subject Marxism theory in literature en_US
dc.title Uchambuzi wa tamthilia ya Mkwamo na Kilio Cha Haki kwa kutumia nadharia ya Umaksi en_US
dc.type Thesis en_US
Files